NEWS:WANENE ENTERTAIMENT
@Chin bees
Habari wa pendwa wadau wa muziki mzuri tunapenda kuwa taarifu kuwa kwa habari zinazo enea
Mitandaoni kumhusu @chin bees## kuondoka WANENE ENTERTAIMANT ni habari za uwongo hazina ukweli ndani yake
@chin bees bado ni msanii ambaye yupo chini ya uongozi wa Wanene Entertaimant
na hivi karibuni anatalajia kutoa ngoma yake mpya
#{INOGIRE}
#WANENE # BEES GANG
No comments
Note: only a member of this blog may post a comment.