NEWS:WANENE ENTERTAIMENT
WANENE ENTERTAIMENT
Wanene Entertaiment inakuletea>>>Wanene Comedy Tour in Secondary School.
tour hii itafanyika kwenye shule za Secondary lengo kuu ni kutoa burudani kwa wote,
pia kutoa Elimu kwa wanafunzi kama vile; Afya,Mimba za utotoni,Athari za utumiaji madawa ya kulevya,Ukatili wa kijinsia,
@wanene studio ## @Nyerereo ## @Tichamkuly ## @Ramlite official.
No comments
Note: only a member of this blog may post a comment.